Genesis 41:45

45Farao akamwita Yusufu Safenath-Panea, pia akampa Asenathi binti Potifera, kuhani wa mji wa Oni,
Yaani Heliopoli (Mji wa Jua).
kuwa mke wake. Ndipo Yusufu akaitembelea nchi yote ya Misri.

Copyright information for SwhKC